EDUCATION NEWS -
Taasisi ya Teachers Junction imezinduwa huduma mpya ya kuunganisha walimu na shule
mfumo huu wa kiditali humfanya mwalimu kufanya tathmini ya uwezo wake akiwa popote Tanzania
mfumo huu utamfaya mwalimu kupata kazi kwa haraka Tanzania nzima
unaweza kutembelea
kisha uweze kwenda kwenye job vacancy
nirahisi ni kisasa